• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 5 January 2017

    Draxler, amekamilisha usajili pauni million 34 kujiunga na PSG


    Draxler, amekamilisha usajili pauni million 34 kujiunga na PSG ya Ufaransa.

    Mjerumani huyo kutoka Wolfsburg alikuwa akiwaniwa kwa juhudi kubwa na Arsenal, ambayo imemkosa.


    Draxler mwenye umri wa miaka 23, ni kati ya wachezaji wanaopewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri zaidi halo baadaye.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI