
Oktoba 23 mwaka jana Diwani wa Kata ya Msasani Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta alichaguliwa kuwa Meya mpya wa manispaa hiyo katika uchaguzi wa vuta nikuvute, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Manispaa hiyo, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetangaza ushindi wa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamini Sitta kufuatia kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mustafa Muro na aliyekuwa mgombea wa nafasi ya unaibu meya kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jumanne Mbunju.

Madai ya Kesi hiyo namba 3 ya mwaka 2016 yametupiliwa mbali na mahakama imemtambua Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamini Sitta ni Meya hala
No comments:
Post a Comment