• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 10 January 2017

    MAJALIWA AMTEMBELEA MAMA FATMA KARUME

    uo
    uo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama  Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake  eneo la    Maisara Zanzibar.
    uo-1

      Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na mjane wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi   ya  Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake, eneo la  Maisara, Zanzibar.
     uo-2
      Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akisalimiana na  Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati yeye na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walipomtembelea nyumbani kwake   ENEO LA  Maisara Zanzibar  Januari .
     uo-3
     Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakizungumza na mjane wa Rais wa kwanza wa serikali ya  Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume  (katikati wakati walipomtembelea nyumbani kwake eneo la Maisara mjini Zanzibar Januari .

     uo-4
     Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary  wakiongozana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume  kutoka  ndani  wakati walipomtembelea  mama huyo nyumbani kwake eneo la Maisara mjini Zanzibara, Januari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu )

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI