• Breaking News

    ..

    ..

    Sunday, 8 January 2017

    ATIMAE MNAJIMU HASSAN YAHYA HUSSEIN ATABIRI VIFO KWA VIONGOZI WA DINI, SIASA, WASANII, WANAHABARI MWAKA HUU

    kifo-leo


    Maalim Hassan Yahya Hussein akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo , kuhusu utabiri wake wa mambo mbalimbali yatakayotokea mwaka huu

    Baadhi ya mambo aliyotabiri ni;Kutatokea kashfa kubwa sana ya ngono au fumanizi itakayowahusu viongozi wa dini, siasa na wasanii maarufu itakayosababisha  viongozi hao kufedheheshwa  na kuanguka kabisa katika tasnia zao.

    Mwaka huu pia kutakuwa na vifo vya viongozi wakubwa maarufu wa kisiasa  na kidini, kufa ghafla vifi hivyo vitatokana na msongo wa moyo na shinikizo la damu.

    Mioto mingi mikubwa itatokea nchini na duniani.

    Viongozi wakubwa wa upinzani duniani na Tanzania kurejea kwenye vyama walivyovihama.

    Vifo vya vya ghafla vya wasanii maarufu dunianiani ikiwemo Tanzania vinaweza vikatokana na fumanizi kuuliwa au kuana wenyewe.

    Wimbi kubwa la vifo viliwakumba wanahabari duniani 2016 vitaendelea mwaka huu  Ajali nyingi kuwakuta wanasiasa, watawala na viongozi wa dini katika mwaka huu.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI