Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiwaangalia wafanyakazi wa Shirika la ZSTC wakitoa uchafu katika Karafuu zinazotayarishwa kwa mauzo ambazo huingizwa katika chupa na kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo wakati alipotembelea kazi hizo katika uzinduzi Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(wa pili kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kwa Asmahani Abdulkadir alipotembelea Karafuu zinazotiwa katika chupa kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wafanyakazi na Wananchi katika hafla ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akinyanyua Nembo ya KARAFUU kama ishara ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar,uliofanyika leo huko Saateni Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Amina Salum Ali.
No comments:
Post a Comment