• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday 28 February 2017

    mkuu wa wilaya ya kinondoni ALI HAPI ametoa muda wa siku saba kwa wachimba kokoto wa eneo la Boko

    chama kuondosha mawe yao yaliyopo kwenye eneo hilo ili kupisha ujenzi wa dampo la kisasa.

    Kauli hiyo ya HAPI imekuja baada ya kutembelea na kukagua eneo hilo ambalo awali wachimbaji wake walipewa amri ya kutokuendelea na uchimbaji wa kokoto lakini baadhi wamekaifi amri hiyo na kuendelea.

    kielezea zaidi HAPI amewataka kutokuendelea kuchimba na hasa katika kipindi hiki cha mvua kwani wanaweza kujisababishia madhara ya kufukiwa na kifusi na kupoteza uhai.

    Amesema amewaelekeza maafisa mazingira na mipango miji wa manispaa waunde timu waangalie uwezekano wa kuweka dampo kwenye eneo hili kwani eneo la dampo lililopo ni moja pugu kinyamwezi ambapo ni mbali.

    Aidha amesema dampo hilo lifanywe la kisasa ili uwe mradi ambao utasaidia kuingiza mapato kwa manispaa.

    Aidha HAPI ameeleza kuwa pindi eneo hilo litakapoanza kutengenezwa watu waliokuwa wakichimba hapo waandae orodha ya majina ili mawe yatakayotolewa hapo wapewe wao.

    Kwa upande wake afisa mazingira wilaya ya kinondoni MOHAMMED MSANGI amesema eneo hilo likifanywa dampo litarahisisha utupaji taka kwa wakazi wa eneo la boko, mabwepande, bunju,  kawe na mwenge.
    mkuu wa wilaya ya kinondoni ALI HAPI ametoa muda wa siku saba kwa wachimba kokoto wa eneo la Boko chama kuondosha mawe yao yaliyopo kwenye eneo hilo ili kupisha ujenzi wa dampo la kisasa.

    Kauli hiyo ya HAPI imekuja baada ya kutembelea na kukagua eneo hilo ambalo awali wachimbaji wake walipewa amri ya kutokuendelea na uchimbaji wa kokoto lakini baadhi wamekaifi amri hiyo na kuendelea.

    Akielezea zaidi HAPI amewataka kutokuendelea kuchimba na hasa katika kipindi hiki cha mvua kwani wanaweza kujisababishia madhara ya kufukiwa na kifusi na kupoteza uhai.

    Amesema amewaelekeza maafisa mazingira na mipango miji wa manispaa waunde timu waangalie uwezekano wa kuweka dampo kwenye eneo hili kwani eneo la dampo lililopo ni moja pugu kinyamwezi ambapo ni mbali.

    Aidha amesema dampo hilo lifanywe la kisasa ili uwe mradi ambao utasaidia kuingiza mapato kwa manispaa.

    Aidha HAPI ameeleza kuwa pindi eneo hilo litakapoanza kutengenezwa watu waliokuwa wakichimba hapo waandae orodha ya majina ili mawe yatakayotolewa hapo wapewe wao.

    Kwa upande wake afisa mazingira wilaya ya kinondoni MOHAMMED MSANGI amesema eneo hilo likifanywa dampo litarahisisha utupaji taka kwa wakazi wa eneo la boko, mabwepande, bunju,  kawe na mwenge.
    DAR ES SALAAM
    mkuu wa wilaya ya kinondoni ALI HAPI ametoa muda wa siku saba kwa wachimba kokoto wa eneo la Boko chama kuondosha mawe yao yaliyopo kwenye eneo hilo ili kupisha ujenzi wa dampo la kisasa.

    Kauli hiyo ya HAPI imekuja baada ya kutembelea na kukagua eneo hilo ambalo awali wachimbaji wake walipewa amri ya kutokuendelea na uchimbaji wa kokoto lakini baadhi wamekaifi amri hiyo na kuendelea.

    Akielezea zaidi HAPI amewataka kutokuendelea kuchimba na hasa katika kipindi hiki cha mvua kwani wanaweza kujisababishia madhara ya kufukiwa na kifusi na kupoteza uhai

    Amesema amewaelekeza maafisa mazingira na mipango miji wa manispaa waunde timu waangalie uwezekano wa kuweka dampo kwenye eneo hili kwani eneo la dampo lililopo ni moja pugu kinyamwezi ambapo ni mbali.

    Aidha amesema dampo hilo lifanywe la kisasa ili uwe mradi ambao utasaidia kuingiza mapato kwa manispaa.

    Aidha HAPI ameeleza kuwa pindi eneo hilo litakapoanza kutengenezwa watu waliokuwa wakichimba hapo waandae orodha ya majina ili mawe yatakayotolewa hapo wapewe wao.

    Kwa upande wake afisa mazingira wilaya ya kinondoni MOHAMMED MSANGI amesema eneo hilo likifanywa dampo litarahisisha utupaji taka kwa wakazi wa eneo la boko, mabwepande, bunju,  kawe na mwenge.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI