Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Prof. Egid Mubofu akizungumza na waandishi wa habari hawapo (pichani) kuhusu mkakati wa shirika hilo kudhibiti uingizwaji na uzalishaji wa bidhaa hafifu hapa nchini.kushoto Afisa Uhusiano wa Shirika hilo Bi Roida Andusamile.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia Mkutano wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) uliofanyika leo Jijini Dar es salaam ukilenga kueleza mikakati ya shirika hilo katika kutoa huduma bora kwa wananchi na kuchochea ujenzi wa uchumi wa Viwanda.
(Picha na Frank Mvungi-Maelezo).
No comments:
Post a Comment