CHADEMA, kupitia Mwenyekiti wake Freeman Mbowe kinatarajia kuwakaribisha Wanachama wapya akiwemo Msanii Wema Sepetu.
Aidha Msanii huyo kwa pamoja na Mama yake Mzazi leo wamemsindikiza Kiongozi huyo Mahakama Kuu kusikiliza kesi ya Kikatiba dhidi ya RC Makonda na Kamanda Sirro.
Katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, Wema Sepetu akishirikiana na Wasanii wengine walikinadi Chama Cha Mapinduzi(CCM) wakitumia kauli mbiu ya ‘Mama Ongea na


No comments:
Post a Comment