• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 27 March 2017

    BALOZI WA MOROCCO NCHINI TANZANIA AKUTANA NA WAZIRI WA ARDHI KUHUSU MASUALA YA ARDHI


    ORO
    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi akiwa na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane wakati alipo mtembelea ofisini kwake.
    ORO 1
    Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane akimueleza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi jinsi Nchi yake ilivyofanikiwa katika kukabiliana na makazi holela kwa kiasi kikubwa

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI