• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 7 March 2017

    MKUTANO WA JUMUIYA YA NCHI ZINAZOPAKANA NA BAHARI YA HINDI(IORA) NCHINI INDONESIA WAFANYIKA

    DK1
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa kwanza wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia,(kushoto) Rais wa Sychells Mhe,Danny Faure, [Picha Ikulu.]
    DK2
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Ncho Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (katikati) wakiteta jambo wakati wa vikao mbali mbali katika mkutano wa kwanza wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt John Pombe Magufuli,mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia,(kushoto) waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe,Susan A,Kolimba,[Picha Ikulu.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI