• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 24 March 2017

    SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU NA KATBU WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA (CPC) NDUGU GUO JINLONG JIJINI DAR ES SALAAM.

    CP1
      Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akielezea jambo wakati akizungumza na  Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong pamoja na Ujumbe aliombatana nao  Jijini Dar es Salaam. 
    CP2
      Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong akimueleza jambo Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai wakati walipofanya mazungumzo Jijini Dar es Salaam.
    CP3
    CP4
    Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akifafanua jambo wakati akimkabidhi zawadi Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong mara baada ya kuzungumza nae Jijini Dar es Salaam.  
    CP5
    Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kushoto) akifurahia jambo  wakati na Mjumbe wa Kamati Kuu na Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), Mhe Guo Jinlong (katikati) pamoja na Balozi wa China Nchini  Dkt.Lu Youqing (kulia) wakati wakisili katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya mazungumzo Jijini Dare es Salaam. 
    (Picha na Ofisi ya Bunge

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI