Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba
la Taifa NHC Bw. Nehemia Mchechu akitoa taarifa ya shirika hilo kwa
kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakati kamati hiyo
ilipotembelea miradi ya shirika hilo iliyopo jijini Dar es salaam,
Kamati hiyo imesifu kazi zinazofanywa na shirika hilo kutokana na
kuendeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa majengo ya kuuza na
kupangisha.
Mh. Haji Mponda Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali akizungumza na Mama Blandina Nyoni
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC
Mkurugenzi wa Ubunifu shirika la
nyumba la NHC Bw. Issack Peter akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya
bunge ya Hesabu za serikali wakati waliptembelea miradi ya shirika hilo
inayojengwa jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba
NHC Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na waandishi wa habari wakati Kamati
ya Bunge ya Hesabu za Serikali ilipotembelea miradi ya shirika hilo.
Wajumbe wa Kamti ya Bunge ya Hesabu za Serikali wakitembelea mradi wa 711 unaotekelezwa na shirika hilo uliopo Kawe
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba
NHC Bw. Nehemia Mchechu akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Hesabu za Serikali ilipotembelea kwenye miradi hiyo.
Mkurugenzi wa Fedha NHC Bw. Felix
Maagi akizungumza na mmoja wa wajumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za
Serikali waliotembelea katika miradi ya NHC.
Wajumbe wa Kamti hiyo Munde Tabwe
kushoto na mama Burra wakijadiliana jambo wakati kamati hiyo
ilipotembelea katika miradi ya shirika hilo jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa Shirika la Nyumba Mama Blandina Nyoni akizungumza na Mkurugenzi wa
Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu na mkurugenzi wa Ubunifu
Isaack Peter.
Isaack Peter Mkurugenzi wa
Ubunifu NHC akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za
Serikali wakati walipotembelea miradi ya shirika hilo jijini Dar es
salaam.
Mwenyekiti wa Kamti ya Bunge ya
Hesabu za serikali Mh. Haji Mponda akiuliza swali kwa Mkurugenzi wa
Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu wakati wajumbe wa kamati hiyo
walipotembelea katika miradi ya shirika hilo jana
No comments:
Post a Comment