Waziri
Mwakyembe ameishauri pia BASATA kuondoa zuio lake dhidi ya wimbo huo,
na badala yake uendelee kupigwa tu kama nyimbo nyingine.
Akiongea
na Wandishi wa Habari muda huu mjini Dodoma, Dk. Mwakyembe amesema hata
Rais Magufuli amefurahishwa na wimbo huo wa WAPO, na kumshauri Msanii
huyo kama inawezekana aendelee kutaja watu wengine kama vile Wakwepa
Kodi, Wauza Unga, Wabwia Unga, Wezi pamoja na watu wengine wasio na
maadili mema katika jamii.
No comments:
Post a Comment