Matokeo yake ni kwamba pembe hizo za faru zinaweza kuuzwa ndani ya nchi huku marufuku katika biashara hiyo kimataifa ikiwa bado inaendelea.
Watunzaji wa wanyama pori hao wamedai kuwa, kuruhusu biashara hiyo kuendelea kufanyika kihalali kutaweza kupunguza idadi ya faru wanaouwawa kutokana na kwamba pembe za faru zinaweza kukatwa na kuacha wanyama hao hai.
Hata hivyo wahifadhi wa wanyama pori hawakubaliani na hatua hiyo
No comments:
Post a Comment