• ..

    ..

    Sunday, 2 April 2017

    Dc Mjema :Wanawake changamkieni fursa zilizopo nchini

    Dc WA Ilala mama Sophia Mjema amewataka wanawake kuchangamkia fursa zilizopo nchini .

    Ameyasema hayo katika ghafla ya mwanamke na uongozi iliofanyika  Chuo kikuu jijini dar es salaam Jana

     Kwa upende mwengi Mkuu wa wilaya ya ilaala  amempogeza Mwana Dada mashuhuli kwa kufanikisha kuanda kongamano hilo alisema"

    Unapaswa kuigwa kwa kufanikiwa kuwaunganisha wanawake pamoja  ili kuweza kutambau fursa zilizopo nchini kwa asilimia kubwa mwanamke akifanikiwa na familia nayo inafanikiwa "alisema DC Mjema .

    Hata hivyo wanawake walio hudhuria katika kongano  hilo wapeta fursa ya kuweza kutambua majukuma yanayo paswa kuyafanya ili kuinua maisha yao kiujumla..

    Na Ahmed Kombo..

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI