Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe,Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia
Wambura,Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba,baadhi ya wa bunge
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya
pamoja na Mshindi wa Miss Tanzania Supermodel Bi.Asha Mabula katika
viwanja vya Bunge mara baada ya mrembo huyo kutembelea Bungeni hapo leo
Mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA
No comments:
Post a Comment