• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 3 April 2017

    Neymar ajitengenezea rekodi Barcelona

    Mchezaji wa timu ya taifa Brazil, Neymar Jr amekuwa ni Mbrazil watatu kufikisha magoli 100 akiwa na klabu ya Barcelona katika michuano yote lakini bado mchezaji huyo anaonekana anauwezo wakuja kuweka rekodi yake.

    Evaristo ndiye alikuwa mchezaji kwanza kufikisha magoli 105, na wapili alikuwa Rivaldo aliye fikisha magoli 130.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI