Rais wa Zanzibar na Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri mara
alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake
chake Pemba kuzungumza na Walimu wa Skuli za msingi na Sekondari za
Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba leo,akiwa katika ziara yake
kisiwani humo.
Baadhi ya Walimu wa Skuli za
msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo
katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake, akiwa
katika ziara yake kisiwani humo.
Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za
Mikoa ya Pemba na Afisa Tawala wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipozungumza na Walimu wa Skuli za msingi na
Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba leo katika Ukumbi
wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake, akiwa katika ziara yake
kisiwani humo.
Baadhi ya Walimu wa Skuli za
msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo
katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake, akiwa
katika ziara yake kisiwani humo.
Baadhi ya Walimu wa Skuli za
msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo
katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake, akiwa
katika ziara yake kisiwani humo.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali Mmanga Mjengo Mjawiri mara alipokuwa akimkaribisha Rais wa
Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) kuzungumza na Walimu wa Skuli za msingi na
Sekondari za Serikali na Binafsi katika Mikoa ya Pemba leo katika
Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chake chake, akiwa katika
ziara yake kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na
Walimu wa Skuli za msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika
Mikoa ya Pemba leo katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya
Chake chake Pemba akiwa katika ziara yake kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar na Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na
Walimu wa Skuli za msingi na Sekondari za Serikali na Binafsi katika
Mikoa ya Pemba leo katika Ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya
Chake chake Pemba akiwa katika ziara yake kisiwani humo,[Picha na
Ikulu.] 06/04/2017.
No comments:
Post a Comment