
Wameyasema hayo leo katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam Mh Paul Makonda kutona na uzaji holela wa CD za nje ya nchi ambazo zimepekea kuporomosha CD za wasanii wa filamu tanzania

Hata hivyo RC Makonda amewataka wauzaji wa filamu tanzania kufuata utaratibua ulio andalia na serikali ili kufanikisha swala la kulipa kodi ''aliseama niawaombe watanzania kwa ujumla tushirikiane katiaka kulijenga taifa na kuawanga mkono wasanii wetu wa nchini kwetu''

Kwa upande mwengine mkuu wa mkoa amewataka wananchi wanao uza filamu za nje ambazo hazifuati utaratibu kuacha mara moja.

No comments:
Post a Comment