Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye
Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama
vya Watu Wenye Ulemavu Bi. Ummy Nderinanga wakati wa mkutano wao na Waziri huyo
ili kujadili utekelezaji wa majukumu uliofanyika Ukumbi wa mikutano wa ofisi
hiyo Bungeni Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye
Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na
Viongozi wa SHIVYAWATA kujadili utekelezaji wa majukumu yao katika Ukumbi wa
Ofisi yake Bungeni Dodoma Aprili 27, 2017.
Wajumbe wa mkutano wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye
Ulemavu nchini wakifuatilia maelekezo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama wakati wa
kikao chao Mjini Dodoma tarehe 27 Aprili, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiendesha
mkutano na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu walipokutana
ofisini kwake Dodoma kujadili utekelezaji wa Majukumu yanayowahusu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye
Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja
na Viongozi wa SHIVYAWATA mara baada ya kumaliza mkutano wao, kushoto kwake ni
Naibu wake (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA)
No comments:
Post a Comment