• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 2 May 2017

    Atimae Upelelezi wa kesi ya Wema wakamilika

    Malkia wa filamu , Wema Sepetu, Jumanne hii alipanda tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es salaam kusikiliza kesi ya tuhuma za kutumia na kukutwa na madawa ya kulevya ambapo upande wa Jamhuri umekamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili msanii huyo.

    Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, ameahirisha kesi hiyo mpaka June 1, mwaka huu ambapo mahakama itasikiliza maelezo ya awali ya upelelezi huo.
    Muigizaji huyo ambaye yupo nje kwa dhamana baada kusota maabusu 7, anadaiwa kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake kufuatia msako mkali wa kupambana na dawa za kulevya iliofanywa na ofisi ya mkoa wa Dar es saam

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI