• Breaking News

    ..

    ..

    Tuesday, 2 May 2017

    Madee azidi kukoshwa na Dogo Janja

    Rapa Madee kutoka Tip Top Connection ni moja kati ya wasanii ambao wanamkubali sana Dogo Jonjo, tena sio tu kwa uwezo wake wa ku’rap bali hata muonekano wake wa kimavazi.
                                                     Rapa Dongo Janja
    Madee amesema kwa sasa haoni Msanii yeyote yule ambaye anamfunika Dogo Janja kwenye Mavazi.
    Ulimwengu wa vijana na mavazi round hii ameushika janja!!!!“Ameandika Madee kwenye ukurasa wake wa Twitter.
    Dogo Janja ni mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la Tip Top Connection, linaloongozwa na Babu Tale

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI