• ..

    ..

    Wednesday, 17 May 2017

    Rama Dee aeleza hisia zake



    Msanii wa muziki wa R’n’B nchini Tanzania, Rama Dee ametaja vitu viwili ambavyo katika maisha yake huwa vinampa huzuni na furaha kila anapovikumbuka.
    Tokeo la picha la rama dee na familia yake
    Rama Dee na Familia yake
    Rama Dee amesema katika maisha yake kifo cha Mama Yake mzazi huwa kinamuumiza sana akilini ingawaje kilitokea miaka mingi iliyopita lakini huwa anaumia sana kwani alikuwa ni nguzo muhimu maishani mwake.
    Mimi kitu kinachonipa huzuni katika maisha yangu ni kifo cha Mama yangu mzazi nilimpenda sana kwani alikuwa ni kama rafiki yangu“Alisema Rama Dee kwenye kipindi cha Kikangooni cha EATV.
    Kuhusu ni kitu gani kinachompa furaha maishani mwake amesema ni kuwa na watoto wenye afya  na familia yake kiujumla kwani huwa akiwa nayo daima hujiona mwenye bahati

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI