Rais wa Klabu ya Soka ya Simba , Evans Aveva amesema kuwa pamoja na
kutoigopa timu mbao wanaiheshimu kutokana na uwezo wao uwanjani.
Akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu masuala mbalimbali
yahusiayo mustakabali wa klubu hiyo amesema kuwa waliwahi kusumbuliwa na
Klabu katika mchezo waliokutan Dar es Salaam ambapo simba haina hofu
kuikabili klub hiyo.
Hata Hivyo Aveva amesema kuwa amesikiktishwa na kuchelewa kupew taarifa
za uwanja utakao chezwa fainali ya ligi ya FA ambayo watakutana na timu
hiyo ya Mbao kutoka jijini Mwanza

No comments:
Post a Comment