Msanii wa filamu nchini Tanzania Salim Ahmed[gabo zigamba]
ametangaza kuleta mabadiliko ya filamu
nchini Tanzania kupitia kampuni yake ya sarafu midia.
Ameyasema hayo
kipindi anazungumza na waandishi wa habari leo jijini dar es salaam katika ukumbi wa habari maelezo kutokana na maandalizi mabovu ya filamu nchini Tanzania gabo zigamba ameamua
kuleta mabadiliko kutoka tasnia hiyo ya filamu ambapo amefanya filamu ya
kimataifa inayolenga kuleta mabadiliko nchini.
‘’Amesema’’nimeamua kuongeza filamu mpya inayoitwa KISOGO
filamu hii imetengenezwa katika hadhi ya kimataifa nan i kwaajili ya wananchi
wote na inaongozwa na mimi mwenyewe ;kumbe basi filamu hiiitaanza kuonyeshwa
leo hii na ni filamu ya dakiika 30 na dakika 15 bure pia itaendeshwa kwa mfumo
wa kitanzania zaidi na itapatwa kwenye simu yako ya kiganjani [mobile] na
imebebwa na mimi na wema sepetu.
Kwa upande mwingine
gabo zigamba umefafanua kuwa filamu hii utaipata kiurahisi mkubwa katika simu
yako ya kiganjani kupitia app ya uwondo nan i filamu ya dakika 30.dakika 15
bure na dakika15 zilizobaki utachangia kwa ghalama ndogo tu Tshs500 na kuona
filamu yote
na mwandishi VABY
AZRAH Z4NEWS BLOG
No comments:
Post a Comment