Mkuu wa wilaya ya ilala sophia mjema amezungumza na wananchi wake wa ilala leo hii ya tarehe 22-06-2017 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini dar-es-salaam.
Hata hivyo sophia mjema alifafanu siku hii ya kuadhimisha siku ya watu kutoa kero,maoni,na shida zao kwa ujumla ali itambulisha siku hii ya alhamisi ni siku ya watu kutoa kero zao kwa watumishi wao.''alisema''
leo ni siku yako mwananchi kuongea kile kinacho kutesa ama kuumiza katika maisha yako ya kila siku na pia idara zote 20 zipo hapa kwa ajili ya kusikiliza na kufanyia kazi maoni,kero,malalamiko na kilakitu kwa wananchi wetu ongea ysiogope kuwa na uhuru hii ni tanzania ya kazi na ni ya viwanda tunataka tuboreshe kama alivyo ahidi muheshimiwa wetu wa nchi john pombe magufuli na sisi tulo chini yake lazima tujitume na tujitoe kwenu.
Pia katibu tawala mheshimiwa edward mpogolo akatoa neno kwa wananchi wake kwakukazia maneno yaliyosemwa na Dc wake na kutoa shukrani za dhati sana kwa waandishi na wananchi walo wajasiri kuja kusema chochote pale pia aliwashukuru idara zote zilizopo na kutangaza kuwa alhamisi ni siku ya kusikiliza kero za wananchi wao.na muandishi wako VABY AZRAH Z4NEWS Blog
..

Thursday, 22 June 2017
Habari
No comments:
Post a Comment