Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid ni miongoni mwa Viongozi
waliohudhurika katika hafla ya kuwapishwa Mkuu wa JKU na Kamishana Mkuu
wa Chuo cha Mafunzo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja le
Baadhi
ya Makamanda wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi JKU na Chuo cha
Mafunzo Zanzibar wakiwa katika hafla ya kuwapishwa wakuu wao Wapya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa wa Ikulu Mjini Unguja leo
Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu (kulia) Mwanasheria Mkuu wa
Zanzibar Mhe.Said Hassan Said na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud, ni
miongoni mwa Viongozi waliohudhurika katika hafla ya kuwapishwa Mkuu wa
JKU na Kamishana Mkuu wa Chuo cha Mafunzo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja leo
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara
Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri (kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji, ni
miongoni mwa Viongozi waliohudhurika katika hafla ya kuwapishwa Mkuu wa
JKU na Kamishana Mkuu wa Chuo cha Mafunzo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali baada ya kuwaapisha rasmi Kamishana Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Abdalla Ali kuwa (wa nne kushoto) na Kanal Ali Mtumweni Hamad Mkuu
wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi, Zanzibar JKU (wa nne kulia)
hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 13/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akimvalisha cheo cha Kamishana Mkuu wa Chuo cha Mafunzo
Zanzibar Nd,Ali Abdalla Ali katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kabla alikuwa Naibu Kamishana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Nd,Ali Abdalla Ali kuwa Kamishana Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kabla alikuwa Naibu Kamishana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Kanal Ali Mtumweni Hamad kuwa Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi, Zanzibar (JKU ) katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
No comments:
Post a Comment