Moja ya vinara wa Teknolojia y
aHabari na mawasiliano katika Maonyesho yanayoendelea ya biashara
jijiji Dar es Salaam – Multichoice Tanzania, imeendelea kutingisha
katika viwanja hivyo huku Makundi ya watu wakimiminika kupata ofa maalum
ya sabasaba kutoka DStv.
Multichoice Tanzania (DStv)
ambao walitangazwa rasmi kuwa washindi wa pili katika kundi la washiriki
wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wamemwaga ofa ya aina yake
ambapo gharama ya kufungiwa king’amuzi cha DStv pamoja na kifurushi cha
mwezi mzima ni shilingi 69,000 tu!
Akielezea ofa hiyo Meneja Masoko
wa Multichoice Tanzania Alpha Mria, amesema hii ni ofa ya aina yake kwa
wateja wa ving’amuzi kwani bei hiyo ninafuu sana na ni maalum katika
msimu huu waSabasaba.
Amesema Mteja mpya wa
DStvsasaatapataking’amuzi cha DStv, kifurushi cha Bomba cha
mwezimzimapamojanaufundiburekabisa!
Ameongezakuwawamewekaofahiyokwaviwangotofautiilikumuwezeshamtejakuamuaanachokipendakwaniamtejaanawezakuamuakuchukuaofayaking’amuzikilichounganishanakifurushi
cha mwezikwaShilingi 69,000 au hatakwamwakamzimakwashilingi 300,000.
No comments:
Post a Comment