Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini(IGP), Simon Sirro, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani), baada ya kufanya kikao kuhusiana na uhalifu katika maeneo ya
Kibiti,Mkuranga na Ikwiriri,mkoani Pwani, ambapo Naibu Waziri Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto),alitangaza
kutafutwa kwa watu 16 wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu huo.Mkutano huo
umefanyika katika Ukumbi wa polisi makao makuu,jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao na viongozi wa ngazi za
juu wa Jeshi la Polisi kuhusiana na uhalifu katika maeneo ya
Kibiti,Mkuranga na Ikwiriri,mkoani Pwani, ambapo alitangaza kutafutwa
kwa watu 16 wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu huo.Kulia ni Mkuu wa Jeshi
la Polisi nchini(IGP), Simon Sirro.Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi
wa polisi makao makuu,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akionyesha baadhi ya picha za
watuhumiwa wa uhalifu katika maeneo ya Kibiti,Mkuranga na Ikwiriri kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani), baada ya kufanya kikao na
viongozi wa ngazi za juu wa Jeshi la Polisi ambapo alitangaza kutafutwa
kwa watu 16 wanaotuhumiwa kuhusika na uhalifu huo.Kulia ni Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini(IGP),Simon Sirro.Mkutano huo umefanyika katika
Ukumbi wa polisi makao makuu,jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment