kampuni ya uhuru saund inatoa offa katiaka kipindi hicho cha msimu wa sabasaba kutona na maonyesho yanayi lenga kuitangaza tanzania kibiashara barani afrika
akizungumza na z4news mkurugenzi wa kampuni hiyo Mr Maneno Sanga ameleza kua kupia msimu wasabasaba uhuru imetoa fursa hiyo kwa wananchi wote ili waweze kujipatia bidhaa kirahisi ndani ya msimu huu ''alisema
lengo la kampuni yangu ni kuwapa watanzania fursa kwa upande vifaa vya miziki abapo itachangia katika swala zima la kijiajiri vijana kiujumla alisema'' Mr maneno Sanga
..
Tuesday, 4 July 2017
Habari
No comments:
Post a Comment