..
Thursday, 20 July 2017
Mahojiano
Jeshi la kanda maalum da es saalam mnao tarehe
18/07/2017 limeanzisha oparesheni maalum ambayo inalenga kuwakamata
wezi wa vifaa vya magari ikiwa pamoja na wanunuzi wa vifa vya magari
vya wizi..
Katika opareshini hiyo ni endelevu imefanikiwa
kuwakamata 44 baaada ya kupekuliwa madukani mwao wamenguduliwa na
vifaa mbalimbali vya magari ambavyo ni vya wizi kama vile side mirrors
.taa.milango windows,.
Aidha jumla ya power windows zilizo kamatwa ni 69, redio ni 21,taa za magazi aina mbalimbali 152,side mirros 150,nk
Watumiwa wote bado wanaendelea na mahojiano na uchunguzi ili kubaini mtandao wa wote wanaojihusiha na kazi hiyo.Kwa
upande mwengine kaimu kamanda farnatus mkodya DCP amewata majambazi
kujisalisha mapema kwani watakampo kamatwa hatua za kishiria
zitachukuliwa zaidi yao
No comments:
Post a Comment