Meneja wa Benki ya TPB Ifakara Amos Msechele akikabidhi miche hiyo kwa Afisa Elimu Msingi Halmashauri Mji Ifakara Bi Mariam Nnauye.
………………………………………………………………….
Shule hizo ni Mlabani, Jongo, na Kining’ina. Tukio lilifanyika Shule ya Msingi Jongo. Mgeni rasmi alikuwa mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Ifakara Bi Mariam Nnauye ambaye ni Afisa Elimu Msingi Halmashauri Mji Ifakara)
Nae Meneja wa Benki ya TPB Amos Msechele ametoa rai kwa wanafunzi wa shule hizo kuitunza miti hiyo ili ije kutumika hata kwa vizazi vingine hapo baadae. Vile vile uongozi wa shule uliipongeza benki ya tpb kwa msaada huo na kuwasihi kuendelea na moyo huo wa kusaidia jamii hasa katika sekta ya elimu.

Meneja wa Benki ya TPB Ifakara Amos Msechele akimsikiliza mmoja wa wafanyakazi wa benki ya tpb Tawi la Ifakara.

Meneja wa Benki ya TPB Ifakara Amos Msechele na wafanyakazi wenzake wakiwa baadhi ya miche waliyoikabidhi kwa shule hizo.

Meneja wa Benki ya TPB Ifakara Amos Msechele na wafanyakazi wenzake wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi.

Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment