• Breaking News

    ..

    ..

    Sunday, 27 August 2017

    DK.SHEIN AWAUNGA MKONO UWT ZANZIBAR

    DSC_1756
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
    DSC_1749
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
    DSC_1776
    Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wafanyabishara waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
    DSC_1844
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Viongozi mbali mbali katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar iliyofanyika jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,ambapo kikundi cha Taarab cha Culture Muzical Club kilitumbiza katika hafla hiyo,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
    DSC_1872
    Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wafanyabishara waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha Hisani kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar wakipata burudani ya Muziki uliopigwa na Kikundi cha Culture Muzicul Club  jana katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017.
    DSC_1903
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi Cheti Bw.Jacob Moywaywa kutoka Hotel ya Breezes Beach akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]27/08/2017.
    DSC_1911
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi Cheti Mkurugenzi Mkuu Abdukadir Mohamed Bujeti kutoka MECCO  akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]27/08/2017.
    DSC_1920
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi Cheti Bw.Ali Kilupy kutoka Kendwa Roky Hotel akiwa ni miongozi mwa wachangiaji wa kiwango cha juu katika kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya UWT Zanzibar katika hafla ya chakula cha hisani iliyofanyika jana ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]27/08/2017.
    DSC_1939
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipokea zawadi maalum kutoka kwa Dkt.Maua Abeid Daftari Mwenyekiti wa kamati ya kuhamasisha uchangiaji wa mfuko wa maendeleo ya UWT katika hafla ya Chakula cha hisani  cha kuchangia Mfuko wa maendeleo ya UWT Zanzibar   katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.] 27/08/2017

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI