• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 3 August 2017

    Ilala yaibuka na nafasi ya kwanza kati ya wilaya zote nchini

    Mmoja wa wanafunzi akikabidhi tuzo ya kombe ambalo walipata kuchukua ushindi kwa Meya wa manispaa ya ilala jijini Dar hivi leo wa kwanza kushoto ni Naibu meya wa manispaa hiyo Omary kumbilamoto,pamoja na Afisa elimu Msingi wa Manispaa hiyo Bi Elizabeth Thomasi na aneyefuata ni katibu tawala wa manispaa hiyo Edward Mpogolo


    Mmoja wa waalimu ambae amekuwa ni mlezi wa wanafunzi huo akikabidhi zawadi ya Tuzo ya kombe kwa Meya wa manispaa ya ilala jijini Dar es salaam

     Zawadi za Kombe zikiendelewa kukabidhiwa kwa manispaa hiyo ya ilala likiendelea

     Haya ndiyo makombe yaliyokabidhiwa kwa manispaa ya ilala kama yanavyoonekanawa kwanza kushoto ni Naibu meya wa manispaa hiyo Omary kumbilamoto,wa pili kushoto ni Meya wa manispaa hiyo pamoja na Afisa elimu Msingi wa Manispaa hiyo Bi Elizabeth Thomasi na aneyefuata ni katibu tawala wa manispaa hiyo Edward Mpogolo


    Baadhi ya waalimu pamoja na wanfunzi wakifurahia mara baada ya kukabidhi makombe hayo kwa manispaa ya ilala
     Hawa ni baadhi ya madiwani pamoja na watendaji mbalimbali walipo katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya kikao chao cha baraza kujadili maendeleo ya wilaya wakishudia kukabidhiwa kwa makombe hayo kwa manispaa yao

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI