• Breaking News

    ..

    ..

    Sunday, 27 August 2017

    NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA NDG: RODRICK MPOGORO AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA UVCCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI.

    Naibu katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi ndg; Rodrick mpogoro
    akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa
    Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati
    kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam.
     Mwenyekiti wa umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu  ya Chama Cha
    Mapinduzi Ndg:Sadifa Juma khamisi akizungumza katika Mafunzo
    elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara
    na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar
    es salaam
     Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi shaka Hamdu
    Shaka akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa
    umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi
    wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam
    washiriki wa mafunzo elekezi wakifuatilia mafunzo
    mshiriki Katibu wa umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa
    kirimanjaro ndg; abdulrahim hamid akiuliza swali wakati wa Mafunzo
    elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara
    na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar
    es salaa.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI