• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 17 August 2017

    Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva akamatwa na Takukuru

    avevaRais wa klabu ya Simba, Evans Aveva anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru).
    Taarifa zinaelezwa kuwa Takukuru wanamshikilia Aveva kwa tuhuma za rushwa ingawa haijaelezwa ni tuhuma zipi.
    Habari za uhakika zinaeleza, Aveva amekamatwa jana na amelala katika moja ya vituo vya polisi jijini Dar es Salaam.
    Source: salehjembe.blogspot.com

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI