• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 28 August 2017

    ZANZIBAR YAIPONGEZA BODI YA UTALII TANZANIA

    2Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii, Bw. Geofrey Meena akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya Baraza la wawakilishi ya Maendeleo ya Wanawake, Habari na Utaliiya Zanzibar walipotembelea ofisi za Bodi ya Utalii, Dar es Salaam.
    3Mjumbe wa Kamati ya Baraza Wawakilishi ya Maendeleo ya Wanawake, Habari na Utalii ya Zanzibar akitumia lugha ya alama kutafsiri jambo kwa moja ya mjumbe wa Baraza Hilo.
    4Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Mhe. Rashid Ali Juma (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Maendeleo ya Wanawake, Habari na Utalii ya Zanzibar.
    ………………………….
    Kamati ya Baraza laWawakilishi ya Maendeleo ya Wanawake, Habari naUtalii ya ZanzibarwameitembeleaBodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa lengo la kudumishaushirikiano na kujifunzambinumbalimbalizinazotumiwa na Bodikatikakuvitangazavivutiovyautaliivya Tanzania ndani na nje ya nchi.
    MenejaMasoko wa Bodi ya Utalii, Bw. Geofrey Meenaalitoaufafanuzi wa kina kuhusushughulizinazofanywa na Bodiikiwa pamoja na namnainavyoshirikiana na Balozi za Tanzania zilizopokatikanchimbalimbali, Mabalozi wa Hiari wa Utaliiwanavyosaidiakutangazautalii wa Tanzania katikanchizao, NamnaBodiinavyoshirikiana na vyombombalimbalivya Habari vya ndani na njekatikakutayarishavipindivyautalii wa Tanzania. AidhaBw, Meenaalisisitizakuwamialiko ya Timumaarufu za mchezo wa mpira wa miguukuwa moja ya njiayenyemanufaamakubwakatikakuitangaza Tanzania
    Ujumbehuouliyongozwana Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Mhe. Rashid Ali Jumaambayealionyeshakuridhishwanajuhudizinazofanywa na Bodi, alisema “ziarayetuimekuwani ya mafanikiokwanitumewezakujifunzamikakatiinayotumiwa na Bodikatikakutekelezajukumu lake la kutangazautalii wa Tanzania hasaUtalii wa Ndani”. Pia ujumbehuouliipongezaBodikwakuwana mipangomadhubiti ya utangazaji pamoja na kutengenezavideo maalumuinayotumikakuvitangazavivutiohivyokatikamatukiombalimbali ya kimataifa.
    ZiarahiyoIlifanyikatarehe 28/08/2017

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI