Akizungumza kaimu kamanda mkuu wa jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Benedict kitalika amesema kuwa tunamshukuru sana mkuu wa mkoa Poul Makonda kwa kutu nimefalijika sana kwa kufika katika eneo ambalo tumepewa wa mkuu wa mkoa na jeshi la polisi limejivunia
‘’Jeshi la zima moto linashukuru kwa kupatiwa eneo hili kwa aajiri ya kuhakikisha usalama unakuwa wakutoasha’’ Amesema Kitalika.
Hata hivyo, Jeshi la polisi kitengo cha zima moto na uokoaji limesema kuwa litahakikisha linaleta vifaa vya kutosha ili kulinda mali za wawekezaji.
No comments:
Post a Comment