
Akizungumza katika hafla hiyo Mhe. Paul Makonda amesema yeye kama mkuu
wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa huo ameamua kusaidia Jeshi
hilo baada ya kuona Askari wanashambuliwa na waharifu mfano tukio
lililo tokea Mbagala ambapo Askari wanne walikuwa wa na wahari katika
tukio la uporaji .
Amewataka Askari hao kutoka kata tamaa katika kazi yao bali waendelee kuwa Linda watanzania.
Aidha amewaahidi askari hao kuwapa viwanja kwa bei nafuu ambapo
amezungumza na kampuni ya viwanja kuwauzia askari kiwanja kwa 5000 kwa
kila mita za eneo badala ya bei hali si ya shilingi 15000.
"haiwezekani askari wanafanya kazi nzuri namna hii ya kulinda raia
halafu hawana Makazi bora nimeona nifanye hivyo kuwapatia hivyo viwanja
kwa gharama nafuu nimeshazunguza na a naye viuza malipa kidogo kidogo
kwa muda wa miaka mitano." alisema Makonda.
Naye Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Mambo sasa
ameruhusiwa mshukuru RC Makonda kwa msaada huo nakusema kuwa Jeshi hilo
bado linaouhitaji mkubwa wa vitendea kazi nakumuomba tena ikiwa atapata
wadau aendelee kusaidia.
Kwa upande wake mkuu wa kitengo cha lasilimali watu wa Jeshi hilo Kanda
Maalumu ya Dar es salaam Benedict Kitarika amemshukuru mkuu wa mkoa huo
na kuahidi kuvitunza vifaa hivyo na kwa matumizi yaliyokusudiwa.
Hata hivyo mkurugenzi wa kampuni ya Tongba ya nchini China Bwana Xue
Chang amesema wataendelea kusaidia serikali ya Tanzania hususani Jeshi
la Polisi katika kuwapatia vifaa ili kupambana na uharifu, na
wanatarajia kujenga kiwanda cha kuunganisha Pikipiki hapa nchi.
No comments:
Post a Comment