• Breaking News

    ..

    ..

    Monday, 11 September 2017

    Kimbunga Irma chaingia ardhi ya Marekani

    An overturned vehicle on a flooded street in Miami, Florida. Photo: 10 September 2017Kimbunga Irma kimepiga jimbo la Florida nchini Marekamani
    Irma kwanza kabisa kilipiga kisiwa cha Marco magharibi mwa pwani mwa Florida, kikiwa na upepo wa kasi ya kilomita 192 kwa saa lakini tangu kwa sasa kimeshuka kutoka kiwango cha tatu hadi cha pili.Palm trees in Bonita Springs north of Naples, Florida
    Zaidi ya nyumba milioni 3.4 katika jimbo la Florida hazina nguvu za umeme na sehemu za mji wa Miami zimefurika maji.
    Vifo vitatu vinavyotokana na kimbunga hicho vimeripotiwa wakati Irma kikielekea sehemu za kaskazini.Boats at marina in Miami
    Kituo cha vimbunga cha Marekani kinasema Irma kimesababisha upepo sehemu tofauti za katikati mwa Florida.Boats at marina in Miami
    Mapema kimbunga hicho kilipiga maeneo yanayozunguka mji wa Fort Myers.
    Irma tayari kimeharibu sehemu za Caribbean na kuya takriban watu 28.A vehicle passes downed palm trees in Miami, Florida. Photo: 10 September 2017
    Watu milioni 6.3 huko Florida wameambiwa wahame.Storm surge map

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI