• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday 28 September 2017

    Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri aeleza kinachojili Tanzania


    Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania Absalom Kibanda amesema kuwa upatikanaji wa taarifa unabanwa na sheria nyingi hapa nchini ambazo zinyima uhuru wa kupata taarifa.


    Amesama hayo leo katika kongamano liliofanyika jijini Dar es salaam la kujadili siku ya upatinaji wa taarifa na kusema kuwa Tanzania kuna sheria nyingi ambazo zinatungwa kwa lengo la kuminya upatikaniwa taarifa ikiwemo sheria ya mtandao, sheria usalama wa taifa, sheria hudama za habari, na sheria za takwimu  hivyo sheria hizi zimetungwa mahususi kwa lengo la kuminya wanahari na vyombo vya habari.

    Aidha kutokana na sheria hizi huwa zinakuja na kauli za vitisho ambazo zinatumiwa na wasimamizi vibaya huku wamiliki wa vyombo vya habari wakitishwa kwa kaulili mbalimba na kupelekea kupoteza lengo la upatikanaji wa habari.

     Waandishi wanakuwa na wakati mgumu wa uwasilishaji wa taarifa kwani wanatoa ama kuandika taarifa kwa uwoga kutokana na vitisho hivyo kupelekea taarifa kuwa finyu, kutokana na kuogopa kauli za vitisho kutoka kwa wasimamizi wa sheria hizo

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI