Akizungumza leo katika ufunguzi wa mkutano wa wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Mwl Nyerere wakati akiwasilisha mashauriano na wadau kuhusu kanuni za huduma ya utangazaji (maudhui) na kanuni za maudhui mtandaoni.
Mkutano huo uliohudhuriwa na wadau wa habari nchini, Kisaka katua hatua nyingine aliwasilisha kuwa wameona waweke kanuni ya vipindi vya Televisheni Interviews(mahojiano) kutorekodiwa na visiwe live ili anaekuja kutazama viwe vimeandaliwa vizuri.
No comments:
Post a Comment