• ..

    ..

    Saturday, 14 October 2017

    DIAMOND AFANYA MAZITO KWENYE SHEREHE ZA KILELE CHA MWENGE MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR

    Usiku wa Jumamosi hii Diamond Platnumz ametumbuiza katika uwanja wa Amaan katika Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar katika tamasha la kusherehekea kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Nyerere.


    Katika tamasha hilo Diamond alihudhuria na timu yake ya WCB akikwemo na Petit Man na wengine. Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI