Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Amina Salum Ali (kulia) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwepo na Viongozi wengine wa Wizara hiyo,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2017.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Juma Ali Juma akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo Mshauri wa Rais,Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd,Ali Khamis Juma (kulia),[Picha na Ikulu.] 24/10 /2017.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2017.
No comments:
Post a Comment