• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 12 October 2017

    Makamanda wa jeshi wamejiuzulu.

    Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi FarmajoHaki miliki ya pichaGOOGLE
    Image captionRais wa Somalia Mohamed Abdullahi Farmajo
    Kwa mujibu wa taarifa za serikali, waziri wa ulinzi naye aliamua kujiuzulu wakati wa mkutano wa wiki wa baraza la mawaziri.
    Katika tukio jingine Mkuu wa Jeshi Ahmed Jimale Irfiid naye alijiuzulu hapo jana mchana. Rais Farmajo hapo hapo akamteua Meja Jenerali Abdiweli Jama Gorod kuwa mkuu wa majeshi.
    Hatua hiyo imekuja wakati ambao Somalia inakabiliwa na tishio la usalama kutoka kwa kundi la wapiganaji wa Al Shabab.
    Nafasi ya Jenerali Mohamed Jima'le Irfid imechukuliwa na Jeneral Abdiweli Jama Hussein Gorod. Somalia kwa muda mrefu imekuwa ikikabiliwa na mashambulio kutoka kwa wapiganaji wa Al Shabab

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI