• Breaking News

    ..

    ..

    Friday, 27 October 2017

    NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA

    NA.1
    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Mhandisi Anjelina Madete (kulia), akimkaribisha Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto), Wizarani mjini Dodoma alipowasili kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kushika nyadhifa hiyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
    NA.2
    Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu na Utawala wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Bi. Kitolina Kippa (kulia), akimkaribisha Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto),  Wizarani mjini Dodoma alipowasili kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kushika nyadhifa hiyo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.  
    3
    Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na Takwimu Bwana Adamu Mwaigoga, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), akimkaribisha Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye, alipowasili Wizarani mjini Dodoma kwa mara ya kwanza. 4
    Mmoja wa watumishi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (wa Sekta ya Uchukuzi), Bi. Rose Mwalujuwa, akimkaribisha Naibu Waziri wa Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye, alipowasili Wizarani mjini Dodoma.
    Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI