• Breaking News

    ..

    ..

    Sunday, 5 November 2017

    DK. KIGWANGALLA ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA NA KUKAGUA SHUGHULI MBALIMBALI ZA UHIFADHI NA UTALII


    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    (kushoto) akisalimiana na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Manyara, Noelia
    Myonga alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua
    shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi
    endelevu 
    na utalii nchini. 
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    (kushoto) akiongozwa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara,
    Noelia Myonga (wa pili kushoto) kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za
    uhifadhi na utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu 
    na utalii nchini alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha. 
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    (kushoto) akizungumza na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, Noelia
    Myonga alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua
    shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi
    endelevu 
    na utalii nchini.
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiteta jambo na  Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, Noelia Myonga alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha. 
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya
    Ziwa Manyara, Noelia Myonga kuhusu hifadhi hiyo alipoitembelea jana mkoani
    Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa
    lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu 
    na utalii nchini. 
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kushoto) akiongozwa na Mhifahdi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, Noelia Myonga kwenda kuangalia kivutio cha Maji ya Moto ya Asili ndani ya hifadhi hiyo.
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    akigusa maji ya moto ya asili ambayo ni kivutio cha kipekee cha utalii
    kilichopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara alipotembelea hifadhi hiyo
    jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na
    utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu 
    na utalii nchini. Maji hayo
    yanakadiriwa kuwa na nyuzi joto 80 ambapo imeelezwa kuwa baadhi ya watalii
    huweza kuchemsha mayai katika maji hayo. Nyuma yake anayeshuhudia ni Mhifadhi
    Mkuu wa hifadhi hiyo, Noelia Myonga.
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    (kushoto) akionyeshwa maeneo ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara na Mhifadhi
    Mkuu wa hifadhi hiyo, Noelia Myonga alipoitembelea hifadhi hiyo jana mkoani
    Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa
    lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu 
    na utalii nchini. 
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa ‘Lodge’ ya AndBeyond
    Lake Manyara Tree, Mei Saimon (kulia) kuhusu ‘lodge’ hiyo ambayo ipo ndani ya
    Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha
    kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo
    la kuimarisha uhifadhi endelevu 
    na utalii nchini.
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa ‘Lodge’ ya AndBeyond
    Lake Manyara Tree, Mei Saimon (kulia) kuhusu mazingira ya nje ya ‘lodge’ hiyo
    ambayo ipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara alipotembelea hifadhi hiyo
    jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na
    utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu 
    na utalii nchini. 
     Waziri, Dk. Kigwangalla akikagua miundombinu ya lodge hiyo.
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    (wa pili kulia) akikagua mazingira ya Lodge’ ya AndBeyond Lake Manyara Tree
    ambayo ipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara alipotembelea hifadhi hiyo
    jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na
    utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini. Kulia kwake ni
    Meneja wa hoteli hiyo, Mei Saimon. 
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    akikagua baadhi ya miundombinu ya kupumzikia wageni katika Lodge’ ya AndBeyond
    Lake Manyara Tree ambayo ipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara
    alipotembelea hifadhi hiyo jana mkoani Arusha kwa ajili ya kukagua shughuli
    mbalimbali za uhifadhi na utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini. Kulia kwake ni Meneja wa hoteli hiyo, Mei Saimon. 
     Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua baadhi ya miundombinu ya kupumzikia wageni katika Lodge’ hiyo ya AndBeyond Lake Manyara Tree ambayo ipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla
    (wa tatu kulia waliosimama) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya
    wafanyakazi wa Nyumba ya Kulala Wageni ya AndBeyond Lake Manyara Tree Lodge
    ambayo ipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara wakati alipotembelea
    hifadhi hiyo jana kwa ajili ya kukagua shughuli mbalimbali za uhifadhi na
    utalii kwa lengo la kuimarisha uhifadhi endelevu na utalii nchini. 
    Simba katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
    Baadhi ya miundombinu ya daraja katika hifadhi hiyo ambayo huwarahisishia watalii kuona wanyamapori mbalimbali.
    Pundamilimilia
    Ndege na nyati katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
    Ndege aina mbalimbali wanapatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
    Mtoto wa Tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara.
    Baadhi ya Tembo katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara. (PICHA NA HAMZA TEMBA – WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI