Video
hiyo inamuonyesha Kajala akiwa anaishi kwa shoga yake kipenzi, lakini
licha ya kumsitiri anafanya kitendo kibaya cha kumtaka shemeji yake
kimapenzi kwa kumtega kwa kumvalia mavazi ya kumshawishi.
Kazi hiyo ambayo imefanywa na mikono ya Hanscana, ni moja ya kazi zilizoachiwa hivi karibuni na Saida karoli tangu arudi rasmi kwenye game, baada ya kishindo cha wimbo wa 'Orugambo'.
Itazame hapa chini.

No comments:
Post a Comment