Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, mapema leo asubuhi
ameripoti katika kituo cha Polisi Kamata jijini Dar es salaam kama
alivyotakiwa na
jeshi hilo.
jeshi hilo.
Kupitia
taarifa iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na mawasiliano ya Umma wa
Chama hicho Ado Shaibu, imesema kuwa baada ya mahojiano, simu ya
kiongozi huyo imechukuliwa.
“Jeshi la Polisi limechukua simu ya ndugu Zitto kwa maelezo kuwa itasaidia uchunguzi wao, na wameahidi kuwa watairudisha kwake kesho jioni, na pia ametakiwa kurudi kituoni hapo Novemba 21, 2017”. Amesema Ado
Pia meongeza kuwa Jeshi la Polisi limetoa taarifa litakwenda katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama cha ACT Wazalendo, kwa Lengo la kufanya upekuzi wa ofisi hizo wakitafuta nyaraka zilizotumika na Chama kufanya Uchambuzi wa Takwimu.

No comments:
Post a Comment