Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum
Kijuu akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Okoa
Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel ambao
walifika katika mkoa huo kwa ajili ya kumjulia hali na kufuatilia
maendeleo ya elimu ya mtoto Julius Kaijage ambaye mwaka 2013
alifanyiwa upasuaji wa Moyo nchini humo.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum
Kijuu akiwa katika kikao na wafanyakazi wa Taasisi ya Okoa Moyo wa
Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel ambao walifika katika
mkoa huo kwa ajili ya kumjulia hali na kufuatilia maendeleo ya elimu ya
mtoto Julius Kaijage ambaye mwaka 2013 alifanyiwa upasuaji wa Moyo
nchini humo.
Mama Judy Shore kutoka Taasisi
ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel
ambaye anaishi nchini Marekani wakizungumza jambo na mtoto Julius
Kaijage ambaye mwaka 2013 alifanyiwa upasuaji wa moyo nchini Israel.
Mama Shore aliamua kuja nchini kumjulia hali mtoto Julius baada ya
kupata taarifa za kupona kwake ugonjwa wa moyo.
Mama Judy Shore na Tamar Shapira kutoka Taasisi
ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel
wakizungumza jambo na mtoto Julius Kaijage ambaye mwaka 2013 alifanyiwa
upasuaji wa moyo nchini humo. Wafanyakazi wa SACH walitembelea mkoa wa
Kagera kwa ajili ya kumjulia hali mtoto huyo.
Tamar Shapira kutoka Taasisi
ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel
akipokea zawadi ya kitenge kutoka kwa mtoto Julius Kaijage ambaye mwaka
2013 alifanyiwa upasuaji wa moyo nchini humo. Wafanyakazi wa SACH
walitembelea mkoa wa Kagera kwa ajili ya kumjulia hali mtoto huyo.
Picha na JKCI
No comments:
Post a Comment